sawa mkuu...sikujuaToa hiyo website yako hapo kabla moderator hawajakuona, utapigwa BAN hawaruhusu. Soma vizuri masharti ya JF
biasharaNi tangazo la biashara au mafunzo ya kuflsh simu
futa uzi peleka kwenye jukwaa la matangazo ya biashara kabla hujala BANbiashara
Acha ujinga ww nyie ndiyo mnatuibia sim zetukwa mahitaji ya kuflash simu na maelekezo ncheki kwa namba 0715629715
nmeshaambiwa nimeelewa tayariKama ni biashara basi jukwaa husika ni jukwaa la matangazo, ukipata wasaa pitia vizuri thread za hili jukwaa utaona limebase kuelemishana na kutoa solutions za mambo ya tech na science na sio marketing.