kuflash simu na factory files ingia hapa

Sorry nna tecno W1 niliiflash but imepoteza imei zimekuja imei nyingine zunaanzia na 86 ni andoid 7 msaada
 
irudishe hyo original imei iliyokuja na simu...huwa inapatikana kwenye sticker ya nyuma baada ya kutoa battery
 
au naweza nikaifanyia repairing remotely..ncheki 0715629715
 
Mkuu kuna android nimeirest inafai email iliyotumika google account ambayo sina nifanyaje?
 
Ku unlock izi vodafone zisome laini nyingine mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…