amiri hasan
Member
- May 9, 2018
- 8
- 4
AsantSafi sana.
Mungu ninayemuamini akakuinulie wateja wengi waamunifu, mabibi kwa mabwana
Napatikana dar mbezi mwisho na pia nimeweka apo mawasiliano ikiwa MTU atanihitaji bac atanipigia cmKwakua forums, hii inasomwa mahali popote Tanzania, ni vizuri, ukajotambulisha upo mji gani, na kwa mijini mfano: Dar, ni vizuri ukaeleza unapatikana Kigamboni, Mbezi, ama Temeke, ili mtu anaekaa eneo lingine atadhimini
Mfano: wewe ni mkazi wa Mbezi Luis, kuitwa na mtu anae ishi kigamboni, inafaa na garama inakuaje.
MwanamkeWe ni wakike au wakiume??
Una churaMwanamke
Nipo napatikana
Click Uzi huoNipo napatikana
Mzuri Dada, kama ni mbezi mwisho, tupo pamoja, kuna siku nitakuiita, kwa kuwa nami ni mkazi wa Mbezi mitaa ya OG.Mwanamke