Hasham007 Member Joined Sep 12, 2017 Posts 13 Reaction score 2 Nov 19, 2017 #1 Habari zenu : Naomba kufahamu utaratibu wa mtu ambae anataka kufanya mitihani ya bodi ya manunuzi { procurement and supply } utaratibu unakuwaje ??
Habari zenu : Naomba kufahamu utaratibu wa mtu ambae anataka kufanya mitihani ya bodi ya manunuzi { procurement and supply } utaratibu unakuwaje ??
OME123 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,497 Reaction score 606 Nov 19, 2017 #2 Nami nataka kujua ili nifanye mitihani yake
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,626 Reaction score 61,254 Nov 19, 2017 #3 Swali zuri Labda kwa kuongezea Ni vigezo vipi vinafanya Mtu apewe excemption kwny baadhi ya masomo? Pepa zipo ngapi, niliwahi kusikia kuna research Kama kwny Phd na masters Ni kweli ?
Swali zuri Labda kwa kuongezea Ni vigezo vipi vinafanya Mtu apewe excemption kwny baadhi ya masomo? Pepa zipo ngapi, niliwahi kusikia kuna research Kama kwny Phd na masters Ni kweli ?