Habari wanajukwaa.
Naomba tujadiliane dhana ya maendeleo Ni nini. Kwa Nini mwingine anafanikisha Jambo mwingine anafanikisha. Imani yako ama mtizamo wako Ni Nini kinachopelekea

Kuna universal definition ya kufanikiwa yaani financial freedom ni kupata kila unachokitamani na usipungukiwe mfukoni kiasi ya kuwaza kwanini ulinunua ulichokitamani