Kuepusha maumivu nimeamua nami sasa niwe mhuni na malaya tu...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Inaumiza. Unapompenda msichana ukaamua kuwa naye kwa heshima na taadhima. Unapoamua kujitoa kwake kwa hali na mali ili asidanganyike huko nje. Lakini yote yanakuwa ni bure.sisi wanaume wapole watulivu huonekana mafala.wanawake wengi hutudharau sana.

Nakumbuka aliyekuwa mchumba wangu aliposema goodgals love bad boys. Hili si la kwanza kusikia.nlishawahi kuwa na msichana akawa ananiita kwa wenzie mimi fala sababu miaka 4 yote sikuwahi mpiga,hakuwahi nifumania,simu yangu alikuwa anakaa nayo atakavyo.shida zake zilikuwa zangu. Akinikosea nikimwambia anakuwa mkali namwambia basi yaishe sipendi ugomvi.akawa ananawaambia wenzie mimi fala.

Mwenzie mmoja ilimuuma akamrecord siku moja akanasikilizisha jinsi wakisimuliwa ufala wangu.nliumia.lakini huwa nawaza sana jinsi ambavyo baba yangu ana mtreat mama yangu kwa upendo na heshima. Sifahamu kwa nini wanawake wa kizazi hiki hawataki mambo hayo.mimi mkono wangu mzito kumpiga mwanamke.siwez kumtukana mtu.

Nmekuwa na bahati mbaya napenda wasichana wazuri ila wanakuwa na tabia mbaya. Nashindwa kuwa nacheat.lakini sasa nmeona maybe niwe bad boy ndo ntapata good girl.

Labda niwe mhuni, mwanaume malaya ndo ntapata mwanamke ambaye ataona kuwa nami nina thamani.pengine huu ukimya wangu naonekana kama sina mvuto.wanawake wengi wanapenda kashkash ... Labda sasa nianze nami hizo kashkash.

Acha nami nijifunze huo uhuni na umalaya ili nikija kutendwa nisiumie nione ni kama ngoma draw.
 
I am above 30. Unachosema ni kweli lakini wema wanaumia sana kuliko wabaya.wabaya wamekuwa wengi duniani na wana step on wema. Kiasi wema umekuwa ubaya na ubaya umekuwa kanuni. Sisi wema tunakufa haraka tena kwa magonjwa ya moyo sometime sababu ya kuugua moyoni.nlipoandika thread yangu nikiumia kwa mchumba wangu kuni cheat asilimia 80 walinicheka sana na kuniona fala.nimekuwa laughing stock.why?just because i am a good guy.

Umri wako? unaelekea kuharibu maisha yako. Ulivyo ni vyema, sahihi na wengi wanatamani kuwa kama wewe! Hatufanyi mema sababu ya watu, tunafanya kwa ajili yetu.
 
Kaka...
Usilazimishie tabia amabzo sio za kwako. Utajuta zaidiii. Tulia kaka, hao unaowapata pengine si wa ubavu wako. Siku ukipata wa ubavu wako uatelewa namaanisha nini. Lakin pia angalia na aina ya wanawake unaowatongoza. Anagalia tabia na sio *sura*. Kinachijenga mahusianao na ndoa ni tabia njema kaka. Kuwa makin sana kwa maamuzi yako.

Kila la heri.
 
I am above 30. Unachosema ni kweli lakini wema wanaumia sana kuliko wabaya.wabaya wamekuwa wengi duniani na wana step on wema. Kiasi wema umekuwa ubaya na ubaya umekuwa kanuni. Sisi wema tunakufa haraka tena kwa magonjwa ya moyo sometime sababu ya kuugua moyoni.nlipoandika thread yangu nikiumia kwa mchumba wangu kuni cheat asilimia 80 walinicheka sana na kuniona fala.nimekuwa laughing stock.why?just because i am a good guy.

Get off that topic ya mapenzi, tafuta priorities nyingine, hata kama hutafanya chochote, hayo mawazo tu na mtazamo ulionao unatosha kukuangamiza, humkomoi mtu yeyote kufanya mabaya, imagine leo unakimbilia kutembea na wanawake ukifikiri unamkomoa tu, then unapata HIV, inakusaidia nini? wanawake ndo hawa hawa, hawajaanza leo, walianza kwa wazazi wetu, wajomba zetu, Kaka zetu, na sasa tunaishi nao, kama wazee wetu wangekuwa na maamuzi kama hayo unafikiri tungezaliwa?

Hiki ni kipindi cha uharibifu, kuwa makini ndugu yangu! pia umesema wapenda wanawake warembo sana, this is also not a right approach, changanya vipa umbele vyako, watakumaliza hawa! try to fall in love natural bila kulazimisha.

what to do:

- Badilisha vipaumbele vyako, kwa sasa isiwe wanawake.
- Jibiidishe kwenye mambo mengi.
- Fall in love kwa coincidence, do not plan or look.
- Jaribu kuwajifunza wanawake kaba hujalala nao.
- usiwasifie, hawana maana!
- Hata kama mdhaifu kwao, be a man, do not display that weekness, watakuua.

Pole!
 
Back
Top Bottom