Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Pikipiki sishangai, ila baiskeli kuna umri unakuwa na kimuhemuhe sana cha kujifunza na marafiki hasa umri wa miaka 9 nakuendelea.
Ila sijui kwa wale wa kushinda wamefungiwa magetini.
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Sikuwahi kuendesha baiskeli ila siku ya kwanza niliyokuja kujifunza pikipiki Wacha kabisa, nilichogundua ukijua kuendesha baiskeli basi pikipiki hatokusumbua