Kuelekea uchaguzi

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2009
Posts
6,802
Reaction score
1,606


Mimi na best friend wangu tupo tayari kuitetea Tanzania:hippie::hippie::hippie:
 
Safi sana, usisahau siku ya kupiga kura, ueksesaizi right ya huyo rafiki yako ya kuchovya wino, ukifika kwenye kuchovya kidole, chovya viwili.


Yani nimerudi home haswaaa kwa kupiga kura:dance::dance::dance:
 
safi sana,tafuta watu wa5 basi wa kuongozana nawe kama sio zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…