Kuelekea uchaguzi BAVICHA ngazi ya Taifa

Tukwazane Taratibu

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
195
Reaction score
539
KUELEKEA UCHAGUZI BAVICHA NGAZI YA TAIFA

Salaam kwenu wanachama wa CHADEMA ambao ndio msingi wa chama hiki tokea ngazi ya Msingi hadi Taifa, salaam hizi nazitoa kwa heshima ya dhati kabisa kwenu Makamanda. Bwana Yesu Asifiweeeeee, Asalaam Alyakum.

Ninazitoa salaam hizi kutokea ndani ya moyo wangu kwani natambua fika kuwa nyie ndio mmekuwa mawe na simenti pamoja na matofali ya kukijenga chama hiki tokea kilipoasisiwa mwaka 1993, nyie ndio mmekifanya chama hiki kuendelea kubaki kwenye dira ya siasa za Tanzania, nyie ndio mmekiletea heshima kubwa chama hiki katika rubaa za kisiasa kitaifa na kimataifa.

Nyie ndio mmekuwa ngao ya chama hiki pale kilipotikiswa na mishale na mikuki ya maadui, Nyie ndio mmekifanya chama hiki kusimama na kuweza kupigana na maadui, nawaheshimu sana Makamanda.

Sote tunajua na kutambua kuwa chama chetu kwa sasa kiko kwenye uchaguzi wa ndani wa viongozi, zoezi ambalo limechukua mda kidogo kwa sababu chama kina mizizi mirefu na kimefanikiwa kupanuka na kufika kila sehemu ya nchi yetu.

Hivyo basi tumeweza na tunaendelea na zoezi la kuwapata viongozi ambao watakivusha chama katika bahari SIASA kwa miaka ijayo, ni wakati sasa wa kila mwene nia ya dhati na chama kusimama na kuwa tiyari kukiokoa chama na kukivusha ng'ambo ya mto.

Sote tunajua kuwa kuna watu wengi wametangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za BAVICHA_Taifa na wengine wanaendelea kutangaza au wanangoja, ni mda muafaka sasa wa kuwa makini zaidi ya kipindi chochote maana hapa ndipo adui anaposimama na kujiandaa kulipua.

Ndio mda ambao bila kuwa makini sana tunaweza kukipasua chama kwa sababu huu ndio mda amabao maadui watajitahidi kujenga makundi ndani ya chama.

WE HAVE TO BE VERY ENTUSIASTIC

Ni mda sasa wa kuchambua yupi ana nia njema ya Kumrithi kamanda wetu aliyepigana kwa mda sasa bila kuchoka na kufanikiwa kuifanya BAVICHA kuwa taasisi yenye kuheshimika kimaamuzi na kimisimamo John Heche, John alifanikiwa kuiletea BAVICHA heshima kubwa sana na daima tutaukumbuka mchango wake kwa chama.

BAVICHA inamhitaji mtu mwenye mtizamo wa kimapunduzi na kimaendeleo ambaye ataifanya iweze hata kujitegemea kirasmali na kiuchumi, mtu ambae hana hila na mwenye kunuka harufu ya Makundi ndani ya chama, mwenye rekodi nzuri ndani ya chama, mwenye kusimama kwa miguu yake bila kuvutwa mikono , mwenye siasa safi zisizo za majungu na vijembe.

Tunamhitaji mtu mwenye elimu ya asili (Here I do not mean PhD, Masters or Bachelors), hapa namaanisha elimu ya utambuzi ambayo inamsadia kutokuwa mjivuni na Maringo. Awe ni mtu wa watu kweli, awe ni mtu mwenye ushawishi akisimama na Kuongea kweli aweze.

Ujue unaweza ukawa fundi wa kuandika makala nzuri lakini ukashindwa kuwa mwenye ushawishi jukwaani. Hilo tuliangalie sana Makamanda.
BAVICHA haihitaji mtu ambaye kwake rekodi za kufukuzwa shuleni au vyuoni ndiyo anaona kuwa ni rekodi nzuri ya Ukamanda na kaziweka kwenye CV yake ya kuutaka uongozi BAVICHA, yaweza kuwa alikuwa akifukuzwa kwa sababu ya Ulevi au Umalaya (Who Knows?) Kwa hiyo wanachama na wapiga kura tuweni makini sana na hili.

Mwisho nipende kuwambia kuwa Msingi wa demokrasia ya dhati na Maendeleo huletwa na wenye nia njema na ujasiri, msingi huu ndio huwa chachu ya kuwafanya wanyonge waliokata tamaa kupata nguvu ya kuinuka na kuteta yao ya moyoni na hata kuchukua hatua. Msingi huu utaletwa na wasio na tamaa na wasiopenda sifa.

TUWENI MAKINI, CHAMA SIYO CHUMBA CHA KULALA KUWA KILA MMOJA ANAWEZA TANDIKA NA KULALA
J.K. Nyambeya
Mwanachama CHADEMA.
 
Remember " GREAT MIND DISCUSS ISSUES, A MODERATE MIND DISCUSS EVENT AND A SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE"
"THINK AND UNITE"
 
Uchaguzi wa Bavicha ndio joto linaanza kupanda.Ni jambo la hatari sana kuwa na mtu kama Ben Saanane kwenye nafasi ya juu ya BAVICHA.Tumeamua kuitendea haki BAVICHA na sasa kanuni za uchaguzi ndizo zitakazozingatiwa tu.Kiongozi ambaye kazi yake ni kufikiria namna ya kulipiza visasi hafai hata kidogo kuwa kiongozi wa juu.Maandiko yake na misimamo yake siku zote hataki hata kutambua mchango wa uongozi uliopo na hii ni kutokana na roho na misimamo ya visasi aliyonayo.Sasa kama atachukua fomu moja kwa moja itaenda kwenye pipa la takataka.Mtu huyu mwenye rekodi ya usaliti na mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983 kwa hiyo moja kwa moja hana vigezo vya uongozi.kanuni tumeweka awe amezaliwa 1984 na kuendelea sasa kelele ni za nini.Ninashangaa sana vibaraka wake huku wanamsujudia na kumshabikia tutaona sasa muda wa kuchukua na kurudisha fomu.kazi yake aendelee kulipwa kwa ajili ya kukesha kwenye mitandao tu.Post ya Dady Igogo fb jana ililenga kwenye mfupa na tunampongeza na wengine kama hao.
 
Mkuu tulia acha chuki binafsi na Ben Saanane
 
Wewe Tutashinda tena mbona unamuogopa sana Ben SAANANE.Kwani ameonesha kisasi kwanani na kwa lipi?
Nafikiri nyie masalia ndio mna kisasi juu ya Ben baada ya kuwatibulia mpango wenu na Leka Dutigite
 
Uchaguzi wa Bavicha ndio joto linaanza kupanda.Ni jambo la hatari sana kuwa na mtu kama Ben Saanane kwenye nafasi ya juu ya BAVICHA.Tumeamua kuitendea haki BAVICHA na sasa kanuni za uchaguzi ndizo zitakazozingatiwa tu.Kiongozi ambaye kazi yake ni kufikiria namna ya kulipiza visasi hafai hata kidogo kuwa kiongozi wa juu.Maandiko yake na misimamo yake siku zote hataki hata kutambua mchango wa uongozi uliopo na hii ni kutokana na roho na misimamo ya visasi aliyonayo.Sasa kama atachukua fomu moja kwa moja itaenda kwenye pipa la takataka.Mtu huyu mwenye rekodi ya usaliti na mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983 kwa hiyo moja kwa moja hana vigezo vya uongozi.kanuni tumeweka awe amezaliwa 1984 na kuendelea sasa kelele ni za nini.Ninashangaa sana vibaraka wake huku wanamsujudia na kumshabikia tutaona sasa muda wa kuchukua na kurudisha fomu.kazi yake aendelee kulipwa kwa ajili ya kukesha kwenye mitandao tu.Post ya Dady Igogo fb jana ililenga kwenye mfupa na tunampongeza na wengine kama hao.

Rudi Hapa Ukiwa Umenawa mikono Maana umetoka chooni umekimbilia kushika keyboard Baadala ya kunawa kwanza mikono ndio Maana unatoa harufu kali sana
 
KUELEKEA UCHAGUZI BAVICHA NGAZI YA TAIFA

Salaam kwenu wanachama wa CHADEMA ambao ndio msingi wa chama hiki tokea ngazi ya Msingi hadi Taifa, salaam hizi nazitoa kwa heshima ya dhati kabisa kwenu Makamanda. Bwana Yesu Asifiweeeeee, Asalaam Alyakum.

Ninazitoa salaam hizi kutokea ndani ya moyo wangu kwani natambua fika kuwa nyie ndio mmekuwa mawe na simenti pamoja na matofali ya kukijenga chama hiki tokea kilipoasisiwa mwaka 1993, nyie ndio mmekifanya chama hiki kuendelea kubaki kwenye dira ya siasa za Tanzania, nyie ndio mmekiletea heshima kubwa chama hiki katika rubaa za kisiasa kitaifa na kimataifa.

Nyie ndio mmekuwa ngao ya chama hiki pale kilipotikiswa na mishale na mikuki ya maadui, Nyie ndio mmekifanya chama hiki kusimama na kuweza kupigana na maadui, nawaheshimu sana Makamanda.

Sote tunajua na kutambua kuwa chama chetu kwa sasa kiko kwenye uchaguzi wa ndani wa viongozi, zoezi ambalo limechukua mda kidogo kwa sababu chama kina mizizi mirefu na kimefanikiwa kupanuka na kufika kila sehemu ya nchi yetu.

Hivyo basi tumeweza na tunaendelea na zoezi la kuwapata viongozi ambao watakivusha chama katika bahari SIASA kwa miaka ijayo, ni wakati sasa wa kila mwene nia ya dhati na chama kusimama na kuwa tiyari kukiokoa chama na kukivusha ng'ambo ya mto.

Sote tunajua kuwa kuna watu wengi wametangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za BAVICHA_Taifa na wengine wanaendelea kutangaza au wanangoja, ni mda muafaka sasa wa kuwa makini zaidi ya kipindi chochote maana hapa ndipo adui anaposimama na kujiandaa kulipua.

Ndio mda ambao bila kuwa makini sana tunaweza kukipasua chama kwa sababu huu ndio mda amabao maadui watajitahidi kujenga makundi ndani ya chama.

WE HAVE TO BE VERY ENTUSIASTIC

Ni mda sasa wa kuchambua yupi ana nia njema ya Kumrithi kamanda wetu aliyepigana kwa mda sasa bila kuchoka na kufanikiwa kuifanya BAVICHA kuwa taasisi yenye kuheshimika kimaamuzi na kimisimamo John Heche, John alifanikiwa kuiletea BAVICHA heshima kubwa sana na daima tutaukumbuka mchango wake kwa chama.

BAVICHA inamhitaji mtu mwenye mtizamo wa kimapunduzi na kimaendeleo ambaye ataifanya iweze hata kujitegemea kirasmali na kiuchumi, mtu ambae hana hila na mwenye kunuka harufu ya Makundi ndani ya chama, mwenye rekodi nzuri ndani ya chama, mwenye kusimama kwa miguu yake bila kuvutwa mikono , mwenye siasa safi zisizo za majungu na vijembe.

Tunamhitaji mtu mwenye elimu ya asili (Here I do not mean PhD, Masters or Bachelors), hapa namaanisha elimu ya utambuzi ambayo inamsadia kutokuwa mjivuni na Maringo. Awe ni mtu wa watu kweli, awe ni mtu mwenye ushawishi akisimama na Kuongea kweli aweze.

Ujue unaweza ukawa fundi wa kuandika makala nzuri lakini ukashindwa kuwa mwenye ushawishi jukwaani. Hilo tuliangalie sana Makamanda.
BAVICHA haihitaji mtu ambaye kwake rekodi za kufukuzwa shuleni au vyuoni ndiyo anaona kuwa ni rekodi nzuri ya Ukamanda na kaziweka kwenye CV yake ya kuutaka uongozi BAVICHA, yaweza kuwa alikuwa akifukuzwa kwa sababu ya Ulevi au Umalaya (Who Knows?) Kwa hiyo wanachama na wapiga kura tuweni makini sana na hili.

Mwisho nipende kuwambia kuwa Msingi wa demokrasia ya dhati na Maendeleo huletwa na wenye nia njema na ujasiri, msingi huu ndio huwa chachu ya kuwafanya wanyonge waliokata tamaa kupata nguvu ya kuinuka na kuteta yao ya moyoni na hata kuchukua hatua. Msingi huu utaletwa na wasio na tamaa na wasiopenda sifa.

TUWENI MAKINI, CHAMA SIYO CHUMBA CHA KULALA KUWA KILA MMOJA ANAWEZA TANDIKA NA KULALA
J.K. Nyambeya
Mwanachama CHADEMA.

Post yako tayari inaonesha una kundi, acha mara moja.....Usituharibie BAVICHA. Vyovyote iwavyo tunahitaji kijana Msomi kwa wastani Shahada ya kwanza. Haiwezekani ulimwengu wa sasa unatwambia eti tuongozwe na mtu mwenye Elimu ya Wastani. Na ulivyo hutaki hata kuisema usije ukawa unamaanisha Form four au Form Six.....

Jambo moja BAVICHA tunatambua ni kuwa kila mtu ana kipaji chake. Sio kila mtu anaweza kuwa mwenyekiti wa BAVICHA na sio kila kijana maarufu anaweza kuwa KATIBU wa BAVICHA
 
Jamani mimi hapa nimeandika kama mwana CHADEMA na sina upande wowote maana nikiwa na kundi nitakuwa nina nia mbaya na chama changu, we need a person who is clean
 
mkuu nimekuelewa najua hutaki kuonyesha upande ila mtu akikusoma between lines unaeleweka unamshabikia nani. ipo namna hii kama wewe ni mwanachama wa kweli onyesha upande wako waziwazi na simamia unachoona ni sahihi ila kushambulia kimafumbo ni unafiki wa hali ya juu. uenyekiti bavicha icwe chambo cha kugombanisha wanachama kama wewe unamshabikia mawazo be open onyesha strengthern yake ipo wapi
 
Uchaguzi wa Bavicha ndio joto linaanza kupanda.Ni jambo la hatari sana kuwa na mtu kama Ben Saanane kwenye nafasi ya juu ya BAVICHA.Tumeamua kuitendea haki BAVICHA na sasa kanuni za uchaguzi ndizo zitakazozingatiwa tu.Kiongozi ambaye kazi yake ni kufikiria namna ya kulipiza visasi hafai hata kidogo kuwa kiongozi wa juu.Maandiko yake na misimamo yake siku zote hataki hata kutambua mchango wa uongozi uliopo na hii ni kutokana na roho na misimamo ya visasi aliyonayo.Sasa kama atachukua fomu moja kwa moja itaenda kwenye pipa la takataka.Mtu huyu mwenye rekodi ya usaliti na mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983 kwa hiyo moja kwa moja hana vigezo vya uongozi.kanuni tumeweka awe amezaliwa 1984 na kuendelea sasa kelele ni za nini.Ninashangaa sana vibaraka wake huku wanamsujudia na kumshabikia tutaona sasa muda wa kuchukua na kurudisha fomu.kazi yake aendelee kulipwa kwa ajili ya kukesha kwenye mitandao tu.Post ya Dady Igogo fb jana ililenga kwenye mfupa na tunampongeza na wengine kama hao.

Huyu mtu ana account nyng fb na jf halafu ana kapicha kamoja kama yuko jukwaani anakatunza kama roho,
 
Back
Top Bottom