Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,497
Simba a.k.a wazee wa mvua.
Hawa jamaa wana bahati ya kushinda mechi ikiwa mvua itanyesha.
Nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 waarabu wa Ismailia mpaka kipindi cha kwanza kinaisha wameshapigwa 2 mtungi,bonge la mvua shamba la bibi pale,Joseph Kaniki anainua mpira juu kidogo toka kwenye maji,bonge la shuti,wayaaa. Ikaahirishwa,kurudiwa upya ikaisha kwa droo.
Sasa sijajua ni bahati tu au ndio mambo yetu ya mlingotini. Kikubwa watoto tumeshiba,baba kapata wapi hela atajijua yeye ingawa akidakwa ni msala.
Wapi Mavugo,wapi Kichuya,wapi Shabalala bila kumsahau Agyei.
Mshike mshike mtie nanga akileta matata muweke sawa