kwangu mimi Rais Kikwete ndo the best president since independent. sihitaji vyombo vya habari kunishawishi kwa hili. Lakini overall ccm wametuangusha sana tokea uhuru.mathalani, Kikwete anaingia madarakani amekuwa tanzania ikizalisha megawatt 750 za umeme, sasa hivi anatoka na anatarajiwa kutuachia megawatt 3000, mifano iko mingi karibia kila nyanja barabara before zilikuwa km 6000 tu lakini anaondoka akituongozea km zingine 11000, yaani mara mbili. huwa nawahsangaaga sana wanaomponda huyu jamaa. eliimu ya msingi, secondary na higher education. plenty.
Kumkubali kwako kikwete ni mambo yako binafsi,ila umejenga hoja dhaifu sana kujustfy hoja yako,jenga hoja ya vitu exceptional kwa kikwete sio barabara,mara umeme sijui nin ambavyo rais yeyote ambae angekua katika awamu yake angevifanya,kuna vitu ambavyo ni general kwa kiogozi yeyote kufanya,hvyo huhitaji kumsifia kwa hilo.
Wana Ukumbi,
Pamoja na mambo mengine ya rais Kikwete, lakini ningependa kueleza mambo ambayo sitasahau kuhusiana na rais Kikwete.
Ingawa mambo yapo mengi, lakini makubwa ni kama yafuatayo:
1. UZALENDO, kwa nafasi ambayo JK anayo kwa sasa. Ni yeye tu kuamua watoto wake waende kuishi nje ya Tanzania.
Lakini kamwe hakuwahi kufanya hivyo, watoto wake wote tunapigana nao vikumbo mabarabarani tu na wengine walisomeshwa shule za kawaida kabisa. Its amazing!
Kwenye baraza lake la mawaziri, karibu 90% ya mawaziri watoto wao wapo nje ya nchi yetu. Same applies kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.
2. UHURU, katika awamu ya JK sio tu uhuru wa vyombo vya habari uliimarika, lakini hata uhuru wa mwananchi mmoja mmoja.
Katika awamu ya nne ndio utaweza kukuta kuna watu aina ya Dr Slaa. Otherwise, ingekuwa kipindi cha Nyerere basi zamani mtu kama Dr Slaa angepotezwa kimya kimya tu.
3. KATIBA MPYA, kwenye hili naamini Watanzania wenzangu mtaniunga mkono kuwa JK amethubutu.
Katiba mpya lilikuwa ni hitaji la muda mrefu sana, lakini tunamshukuru mhe rais kutuliza kiu yetu kwa kutupatia katiba. Kwenye hili tukio la kiistoria, jina lako litasimama milele.
Yangu mimi ni hayo ya kumkumbuka JK. Wewe je?
Mimi nitamkumbuka kwa kutupandia mbegu ya udini
Kumkubali kwako kikwete ni mambo yako binafsi,ila umejenga hoja dhaifu sana kujustfy hoja yako,jenga hoja ya vitu exceptional kwa kikwete sio barabara,mara umeme sijui nin ambavyo rais yeyote ambae angekua katika awamu yake angevifanya,kuna vitu ambavyo ni general kwa kiogozi yeyote kufanya,hvyo huhitaji kumsifia kwa hilo.
Yeye ndio aliwasimamisha mapadri na wachungaji wa chadema kugombea uongozi sio?
simpendi kwa sababu yupo ssm lakini kimaendeleo hana mpinzani. 1 barabar ya kwetu anatengeneza na daraja liloshindikana kwa marais wote waliomtangulia hawakuthubutu. La maragarasi mampa bigup. Umeme kigoma kama kawa kila siku hauna usumbufu kama tulipo dar barabara ya bagamoyo rod kwa kweli tuliteseka sana sasa tambarare tu kihusu deni la taifa sioni tija kwani anadaiwa nani watadai nadae watasamehe kwa msamaha maendeleo sio mara ya kwanza kusamehe
Nitamkumbuka kama raisi pekee tz aliyempa ubunge mwanae. na ukuu wa wilaya marafiki za wanae.