Wewe Simba wa wapi? Hawa unao wabeza ndo wametufikisha hatua hii.
Usituambukize njaa ya kwenu Jangwani, nyinyi ni tofauti sisi..!Simba watashinda njaa.
hivi ninyi wanazi wa hizi timu mbili za kichawi za mbumbumbu fc na vyura sc..... kwa nini msiwe mnasubiri matokeo ya uwanjani badala yake mnakalia kupiga tu ramli huku uwezo wenu ni mediocre?Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa Taifa kupigana dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri.
•••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Ni mechi kali ambayo kwa Simba SC itakuwa ni ya kulipa kisasi kwa wachenzaji, mashabiki na wanachama wa Simba SC pamoja na wadau wa soka kufuatia matokeo ya kipigo cha mabao 5 katika mjini Alexandria nchini Misri.
•••Lakini Mnyama Mkali Simba SC Anasema
"hatushindwi kwani tunaweza na tumejiandaa kuhakikisha kuwa alama 3 za nyumbani zinabaki hapa hapa nyumbani".
Yamesemwa mengi sana hapa Tanzania, kutoka kila pande hasa upande wa pili ambao wanawaogopa sana waarabu, lakini Simba SC itaishangaza dunia kwenye uwanja wa Taifa.
Kilichowakuta Zamalek ya Misri dhidi ya Gormahia ya Kenya kwenye Kombe la Shirikisho, ndicho kitawakuta Mafarao wa Al Ahly japo wengi hawaamini lakini ndo hali halisi ilivyo.
•••Haya twendeni WANALUNYASI Taifa hatushindwi
View attachment 1019785
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshachangia lile bakuli la mchango? Maana style yenu ni ya pekee!simba asije geuka paka tu
Piga ua nina feeling kesho point tatu zabaki dar.Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa Taifa kupigana dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri.
•••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Ni mechi kali ambayo kwa Simba SC itakuwa ni ya kulipa kisasi kwa wachenzaji, mashabiki na wanachama wa Simba SC pamoja na wadau wa soka kufuatia matokeo ya kipigo cha mabao 5 katika mjini Alexandria nchini Misri.
•••Lakini Mnyama Mkali Simba SC Anasema
"hatushindwi kwani tunaweza na tumejiandaa kuhakikisha kuwa alama 3 za nyumbani zinabaki hapa hapa nyumbani".
Yamesemwa mengi sana hapa Tanzania, kutoka kila pande hasa upande wa pili ambao wanawaogopa sana waarabu, lakini Simba SC itaishangaza dunia kwenye uwanja wa Taifa.
Kilichowakuta Zamalek ya Misri dhidi ya Gormahia ya Kenya kwenye Kombe la Shirikisho, ndicho kitawakuta Mafarao wa Al Ahly japo wengi hawaamini lakini ndo hali halisi ilivyo.
•••Haya twendeni WANALUNYASI Taifa hatushindwi
View attachment 1019785
Sent using Jamii Forums mobile app
Cjochote kitakachotokea kesho ila naiona simba ikilipa kisasi kikubwa sana jumamosi.
Piga ua nina feeling kesho point tatu zabaki dar.