Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa Taifa kupigana dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri.
•••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Ni mechi kali ambayo kwa Simba SC itakuwa ni ya kulipa kisasi kwa wachenzaji, mashabiki na wanachama pamoja na wadau wa soka kufuatia matokeo ya kipigo cha mabao 5 katika mjini Alexandria nchini Misri.
•••Lakini Mnyama Mkali Simba SC Anasema;
"hatushindwi kwani tunaweza na tumejiandaa kuhakikisha kuwa alama 3 za nyumbani zinabaki hapa hapa nyumbani".
Yamesemwa mengi sana hapa Tanzania, kutoka kila pande hasa upande wa pili ambao wanawaogopa sana waarabu, lakini Simba SC itaishangaza dunia kwenye uwanja wa Taifa.
Kilichowakuta Zamalek ya Misri dhidi ya Gormahia ya Kenya kwenye Kombe la Shirikisho, ndicho kitawakuta Mafarao wa Al Ahly japo wengi hawaamini lakini ndo hali halisi ilivyo.
•••Haya twendeni WANALUNYASI Taifa hatushindwi
Sent using Jamii Forums mobile app