Wanajamvi
Endapo CHADEMA itarudisha kata zote nne Arusha tareh 14/07/2013, basi 2015 tusije tukasingizia jeshi, polisi, green guard, TISS, wala tume ya uchaguzi.
Ni wazi kwamba hivyo vyombo vyote nilivyovitaja muda huu vipo Arusha kuhakikisha CHADEMA hairudishi kata zote, nguvu inayotumika leo haitaweza kutumika nchi nzima 2015, Ushindi kwa CHADEMA upo wazi kabisa 2015, labda magamba waahirishe uchaguzi.
naomba kuwasilisha.