Serikali inakataza ukeketaji (japo unasaidia kupunguza nyeg*) na inakataza kurithi wajane (japo kunasaidia kutunza wajane na watoto wadogo wa marehem). Lakini naishangaa serikali kutokataza mila za kujitia kilema kama kutoboa masikio tundu kubwa hadi mkono unapita na kutoboa pua tobo kubwa hadi dole gumba linapita na kuweka ndonya. Pia kung'oa baadhi ya meno au kuyachonga. nk,nk. Nashauri serikali ipige marufuku mila kama hizo. NB: mada haihusiani na kutahiri wanaume.Naomba kuwasilisha kwa mjadala.
Na sie wanawake tunawavumilia sana kwa jinsi hali tunazokutana nazo ndani ya kuta 4.
Hata nyingine zina kilema.
Hvyo mada inaangukia palepale,
Nanyi msitahiriwe vibaya eti kwa kuwa mnadumisha Mila!!
Hahahahahahahahaha
Wangu umeua!
Usimalizie!
Lakini sio wewe wangu.
We uko Poa.
Na sie wanawake tunawavumilia sana kwa jinsi hali tunazokutana nazo ndani ya kuta 4.
Hata nyingine zina kilema.
Hvyo mada inaangukia palepale,
Nanyi msitahiriwe vibaya eti kwa kuwa mnadumisha Mila!!
Na sie wanawake tunawavumilia sana kwa jinsi hali tunazokutana nazo ndani ya kuta 4.
Hata nyingine zina kilema.
Hvyo mada inaangukia palepale,
Nanyi msitahiriwe vibaya eti kwa kuwa mnadumisha Mila!!
Hapa sikubali mpaka nimjue unayemsema...
Ukila embe bovu usiliangalie.