Kudownload youtube videos

Nahitaji kudownload youtube videos kwa kutumia simu.. Nafanyaje wakuu??

kuna jamaa humu ndani alisemaga ukisha isearch na kuipata video unayoitaka unaenda kwenye web address ya hiyo page pale juu then kwenye www.youtube.com/hsusshdjorh unafuta www. na kuandika ss kisha unaload, ikiwa kama ssyoutube.com/hdjjsjshsskd itakupeleka kwenye website utakayo chagua file format kama mp4,flv nk na ukiclick tu downloading inaanza
 
Nahitaji kudownload youtube videos kwa kutumia simu.. Nafanyaje wakuu??

Mkuu maelezo yako hayajitoshelezi
Ni vyema ungesema unatumia simu gani ili wataalamu wakupe ushauri kuntu
Maana kuna simu zingine habari hiyo ni hadithi
 
Mkuu maelezo yako hayajitoshelezi
Ni vyema ungesema unatumia simu gani ili wataalamu wakupe ushauri kuntu
Maana kuna simu zingine habari hiyo ni hadithi

Nshapata solutions mkuu thanks.
 
Pia kama unatumia simu yenye OS ya android waeweza kudownload app inaitwa "tubemate" iko powa sana(search kwenye google,haipo playstore)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…