mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
Aise mapenzi yanakauchizi ndani yake
Mate ya mtu ukiyaona yanatia kinyaa balaa
Ila wakati wa denda kichwa cha chini ndo kinafanya kazi ndo mana huoni kinyaa
Linapokuja suala la mapenzi kuna vitu tunakuwa kama tumejisahaulisha
Na lile harufu la sigara mdomo uliochacha.?
Ndiyo maana tunadendeka lakini hayo mate yakiwekwa kwenye glass ukiambiwa unywe huwezi.Mate ya mtu ukiyaona yanatia kinyaa balaa
Ila wakati wa denda kichwa cha chini ndo kinafanya kazi ndo mana huoni kinyaa
Ndiyo maana tunadendeka lakini hayo mate yakiwekwa kwenye glass ukiambiwa unywe huwezi.
Mate ya mtu ukiyaona yanatia kinyaa balaa
Ila wakati wa denda kichwa cha chini ndo kinafanya kazi ndo mana huoni kinyaa
Kwanza lengo la denda sio mate
Kwani lengo ni nin?
kutekenyana ndimi sema wengi hawajui kudendeka mtu anafungua mdomo kama anataka kung'olewa jino aiii
kutekenyana ndimi sema wengi hawajui kudendeka mtu anafungua mdomo kama anataka kung'olewa jino aiii
Nilikuwa sijacheka tangu asubuhi. Asante sana nimeongeza siku za kuishikutekenyana ndimi sema wengi hawajui kudendeka mtu anafungua mdomo kama anataka kung'olewa jino aiii