Telly SALUMU
Member
- Feb 13, 2014
- 6
- 0
Habari zawakati huu, nahomba Sifaam kudanlodi BIBILIA kiswahili, changini jamani mwenzenu nashindwa!!!

tunaomba utuambie uraia wako kwanza kabla hatujawasumbua wazee wa operesheni Kimbunga.
Acheni kumzingua mwenzenu! Yupo sehemu yenye upepo mpaka mwandko umepinda!
Weka picha mkuu
Ohoooo...akimaliza kuDanilodi ata Devilod sasa hivi ngojeni aje tu...