hili sebene linalopigwa kwenye bar ya jiran na maeneo ninapoishi linaniboa. Linampa wazimu my girlfriend kila ajapo gheto, imefikia hatua hatujadili mambo yetu wala kufanya mambo mengine ya faragha pindi lipigwapo. Yan anapenda kulicheza kupita kiasi then ananiboa sana! Hapa sijui nifanyeje na siwezi kuhama mtaa kwa sasa coz nshalipa ankara ya mwaka mzima tayari, kweli huyu mwanamke ananichanganya akili!
malalamiko mengine kwa kweli yanachekesha.kwa nini usimwambie?maybe sebene kwake ni starehe yake no.1 kuliko wewe,pengine akija hapo kwako hufuata hilo sebene na hakufuati wewe.kama anakupenda,atakuelewa.mfahamishe,mapenzi ni kueleweshana.au mara moja moja,mridhishe na yeye mcheze wote
Gagurito bwana wewe acha ushamba, mwenzio ndio alikuwa anakuchezea kama stripers si wanaume wanapendaga sana hii unamchezea huku unamvulia nguo unamtupia yeye kalala tu kitandani?Angalia angalia tv na movie kidogo bwana