Kuchomeshwa maindi na demu unaweza kupata presha

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
Katika hali ambazo sio za kawaida mtu huwa anajisikia ni hii ya kupeana promiss ya kukutana hasa geto. Unajikuta mtu mzima umejiandaa kikamilifu hadi mbu na nzi wote geto umewaua!umepulizia mapafyum mchanganyiko humu.

Unasubiria halafu hatokei moyo huwa unadunda na masikio huwa marefu kama ya tembo hata sisimizi akipita unamsikia. Unaskilizia mlango kugongwa au usikie nyayo mtu anatembea unajua ni yeye.

Au unamsubiria beki tatu aje geto wakati watu wote wakilala aseee ile huwa mateso bila chuki.
 
Wanaboaa xanaa
 
Back
Top Bottom