Tundu Lissu hayupo sawa nimeona hiyo picha akichoma kadi ya CCM mbele ya watoto wadogo unadhani anawafundisha kitu gani hao watoto si wanajua siasa ni vita.
Anawafundisha ku dispose vitu hatarishi kwa afya na akili properly.Huwa hufanywa kwa wanyama waliokufa kwa kimeter,kichaa cha mbwa, na magonjwa mengine.CCM inaharibu neurons.