Mwaka 2013 nilichoma chanjo ya yellow fever nilipokuwa nasafiri, mwaka huu nimepata safari pia, je? natakiwa nikachome tena yellow fever au ile ile niliyochoma mwanzo naweza kutumia cheti chake kwakuwa ninacho?
Ku choma ni Kila baada ya miaka kumi. Ila nenda hospital ulikochoma na hicho cha zamani upewe kile ki booklet kipya maana vimebadilishwa. Kwa Dar mwaka jana ilkua 5,000