Kuchimba dawa na bunge

Mbogo Junior

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
257
Reaction score
72
Suala la kuchimba dawa limefumuka bungeni leo. Naibu waziri ajitetea serikali kuagiza mabehewa mapya yenye uwezo wa kuhifadhi uchafu mpaka mwisho wa safari. Sasa, iwapo haya mabehewa yaliyokarabatiwa na kuanza safari kwa nini wasingeanza nayo.Hapo ndipo majibu rahisi kwa maswali magumu yanapojionyesha.
 
Kwani kwenye daladala wanachimba dawa? Nashauri mabehewa yatumikayo kubeba watu jijini Dar (kwa huduma ya daladala) vyoo vyake vipigwe kufuli kabisa.

Safari yenyewe ya nusu saa, still unataka kuchimba dawa. Huko kwenye mabasi daladala kuna safari ya masaa mawili, lakini husikii mtu akiomba kuchimba dawa.

Nyie vp na deko zenu zisizo na mpango? Mwisho mtaomba na kwenye lift za maghorofa kuwekwe vyoo sasa! Ningekuwa Waziri ningejibu hivyo.
 

Hahahah ni mbunge gani aliyezua jambo la kitoto namna hiyo...nadhani alikuwa anatafuta sifa tu.
Hakuna ulazima wa huduma ya vyoo kwenye mabehewa...hata hivyo vilivyopo sasa ni vyema wavifunge tu...
Cha muhimu ni kuhakikisha kwenye vituo ndio kuwe na huduma za vyoo...
Hata huko mtoni huduma za city train huwa hazina vyoo, sijawahi kuona kwa nchi nilizobahatika kufika.
 
Hawa jamaa wanaanza kuharibu mradi kama ni suala la treni waache mambo ya choo ila station sio vibaya wakijenga,Hawa wabunge yani wananiuzi kwa kweli lakini poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…