bei zake na TECNO hazitofautiani.
Tecno ipo ya 20000bei zake na TECNO hazitofautiani.
Hao kuku ni 20000 wa siku. Wa mwezi 35000. Mitetea na makoo ni 250000 kwa 300000 majogoo ni 300000 na kuendelea juu. Karibu sana katika ufugaji unaokuingizia kipato..kuku wachache faida kubwa.
Kweli bei ya simuHao kuku ni 20000 wa siku. Wa mwezi 35000. Mitetea na makoo ni 250000 kwa 300000 majogoo ni 300000 na kuendelea juu. Karibu sana katika ufugaji unaokuingizia kipato..kuku wachache faida kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
20000 siku.
300000 si bora niende Dodoma Ni nunue ng'ombe mzima Ni mchinje nifunge vizuri nilete nyama dar Nile hata mwezi mzima.!!Hao kuku ni 20000 wa siku. Wa mwezi 35000. Mitetea na makoo ni 250000 kwa 300000 majogoo ni 300000 na kuendelea juu. Karibu sana katika ufugaji unaokuingizia kipato..kuku wachache faida kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
20000 siku.
Tecno inazalisha hadi magorofa mkuu
Wazo zuri hilo..hawa kuku sio kila mtu kama anafuga..ni hobi na wateja wake ni wa aina hiyo hiyo sio kila mtu mfugaji wa kuku hawa au kila mtu ni mteja. Nenda dodoma bila kuchelewa ndugu au subiri kiangazi njaa izidi upate kwa nafuu zaidi.300000 si bora niende Dodoma Ni nunue ng'ombe mzima Ni mchinje nifunge vizuri nilete nyama dar Nile hata mwezi mzima.!!
Asante.Tecno inazalisha hadi magorofa mkuu
Tecno inachati
Inawasiliana
Inafanya mambo yaende achana na tecno mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo ni mapovu,hasira,taharuki au dharau? kakwambia ukweli huwezi kununua kuku kwa 300000 eti kisa ni kuchi. hawafiki bei hiyo mkuu. hata kama wana kazi nyingine zaidi ya kula ila si kwa bei hiyo. kifaranga 20000 only in tzWazo zuri hilo..hawa kuku sio kila mtu kama anafuga..ni hobi na wateja wake ni wa aina hiyo hiyo sio kila mtu mfugaji wa kuku hawa au kila mtu ni mteja. Nenda dodoma bila kuchelewa ndugu au subiri kiangazi njaa izidi upate kwa nafuu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za hawa kuku ni nini? Bei inakaribia ya ng'ombe! Aisee ..Hao kuku ni 20000 wa siku. Wa mwezi 35000. Mitetea na makoo ni 250000 kwa 300000 majogoo ni 300000 na kuendelea juu. Karibu sana katika ufugaji unaokuingizia kipato..kuku wachache faida kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Only in Tz? Hujatembea kuna kuku kuchi wa India mpaka m2 wanauzwa. Hawa kuku wanafugwa kwa hobi tu.. ni sawa na mtu anaefuga kasuku. Kasuku unaijua bei yake? Ana kazi gani?hayo ni mapovu,hasira,taharuki au dharau? kakwambia ukweli huwezi kununua kuku kwa 300000 eti kisa ni kuchi. hawafiki bei hiyo mkuu. hata kama wana kazi nyingine zaidi ya kula ila si kwa bei hiyo. kifaranga 20000 only in tz
Hawa sio kwa ajili ya kula..unaweza kula ila tu pale ambapo hela yako imerudi..mana kwa hakika wana nyama sana..wengine mpaka 9kg. Mmi ninar ana 9kg.Duh.. Kwa kweli wanavutia kwa kuangalia, ila kama unanunua kwa ajili ya kula wata-kuboa kwa hiyo bei
Kwa ajili ya upendo tu kama ni mpenzi wa hao kuku. Hawa kuku mmi ninao zamani na nimefanya maendeleo yangu yote kwa kuku hawa. Ukiwa na kuku 200 wa kuchi hata uuze bei ya kutupa basi hela yako inakaa benki..kuku 200 kuchi wanafunika faida ya kuku wa nyama au wa mayai 2000Sifa za hawa kuku ni nini? Bei inakaribia ya ng'ombe! Aisee ..