nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Jamaa yk kachepuka umejua nn? Sina uhakika km kweli uhumii unazuga tu.
Hata wivu kidogo hujisikii?
pole sana naona ushatendwa hapa , unakuja na story ya sizitaki mbichi hizi tu hapa.
hata mabondia wakipigwa sana za uso huwa sura inakomaa hata upige na nondo haiumi.jamaa itakuwa katendwa sana ashazoea.
Labda kama ulimuokota kati ya wale wanaojitembeza usiku,vinginevyo utakuwa unajiliza bafuni wakati wa kuoga.
tatizo labda hujapenda kutoka moyoni.
Sasa kama huumii, na anagegedwa yeye, kelele za nini? Sungura fanfa wewe, tupishe sie!
basi humpendi ehWivu wa saa 1 tuu hafu basiii
basi humpendi eh
kuumia kupo tu, hakuepukiki ila unaweza kupuuzia ili kuishi kwa amaniSiumii kk
kuumia kupo tu, hakuepukiki ila unaweza kupuuzia ili kuishi kwa amani