Kuchepuka kama njia ya kurevange ni balaa

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wandugu hoyeeeee
Kiukweli suala la kuchepuka kama njia ya kulipiza bi Atari,unakuta Katika mahusiano mmoja kacheat, wa ubavu anapofahamu anatafuta mjumbe chap anaiparamia .Kwa vile anafanya hivyo akiwa emotional hachukui tahadhari yoyote mwishowe anamletea mwenzake magonjwašŸ„±Unakuta tu mtu kaambiwa stor za nyuma kwamba nilishagakisanua na flan b4 mdau chap ashalifanyia kazi eti amtafute wakulipizia.JE HUU NI UUNGWANA LA HASHA HUU SI UUNGWANA
 
Wandugu hoyeeeee
Kiukweli suala la kuchepuka kama njia ya kulipiza bi Atari,unakuta Katika mahusiano mmoja kacheat, wa ubavu anapofahamu na anatafuta mjumbe chap anaiparamia .Kwa vile anafanya hivyo akiwa emotional hachukui tahadhari yoyote mwishowe anamletea mwenzake magonjwašŸ„±Unakuta tu mtu kaambiwa stor za nyuma kwa nilishagakisanua na flan b4 mdau chap ashalifanyia kazi eti amtafute wakulipizia.JE HUU NI UUNGWANA LA HASHA HUU SI UUNGWANA
Kulipiza kwenye mapenzi? Anajua maana ya mapenzi? Ana akili timamu?
 
Wandugu hoyeeeee
Kiukweli suala la kuchepuka kama njia ya kulipiza bi Atari,unakuta Katika mahusiano mmoja kacheat, wa ubavu anapofahamu anatafuta mjumbe chap anaiparamia .Kwa vile anafanya hivyo akiwa emotional hachukui tahadhari yoyote mwishowe anamletea mwenzake magonjwašŸ„±Unakuta tu mtu kaambiwa stor za nyuma kwamba nilishagakisanua na flan b4 mdau chap ashalifanyia kazi eti amtafute wakulipizia.JE HUU NI UUNGWANA LA HASHA HUU SI UUNGWANA
Wacha kwanza nisikitke kidogo
 
Back
Top Bottom