Kucheleweshwa pension ya mwezi

Magane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
202
Reaction score
57
PPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
 
NIMEWEKA UZI HUMU JUU YA HILO! KUNA KITU KINAFANYIKA NA BENKI. TUMUULIZE NANI? NANI WAZIRI MWENYE DHAMANA TUMTAFUTE
 
PPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
SO SLOW! monthly pension... nadhani hii ndiyo sahihi.
 
PPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
PPF hawamo humu mpeni jibu mzee watu
 
Waeleze kama ni wao wanachelewesha au ni upande wa mabenki
Nasikia serikali imezitafuna hela za mifuko hawana hela ya kulipa. Sijui ukweli wa hili uko vipi, lkn ndilo linaloongelewa huku.
 
PPF hawamo humu mpeni jibu mzee watu
PPF haipo tena. Walikuwa wanajitahidi sana kuwahisha pensheni za wastaafu. Tatizo limeanza baada ya kuyaunganisha mashirika haya ya pensheni. Kwa sasa Shirika linalohusika na pensheni za iliyokuwa PPF ni PSSSF.
 
Ok asante kwa kunielewesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…