BABU MAENDELEO
Member
- Apr 30, 2013
- 93
- 19
Mbwembwe tu... Pesa hata heslb hazijafika, yani bado zinatafutwa Hazina
Ni wazuri wakutoa matako lakini utekelezaji ni zeroplusHii nchi Hii, Tatizo inaongozwa kwa matamko. Kanuni, Sheria na taratibu tumezitelekeza.
Duuuh hii nchi bhanaMkuu ni kweli pesa zimeshafika vyuoni, bt wanaleta ukiritimba mpaka Watu wasaini wakati wengine wapo mikoani, nimeshangaa leo nimepigiwa simu nikasaini na mwisho wa kusaini ni j5 ambaye hatasaini hapati kitu... Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu