am great ma dear
naona mnatiana.....
Mi nimesoma hii tu ,kixhwa chote kimevurugika
pole sana rapunzel, inaonekana nyegere zako ziko mlangoni kabisa! ukigusa kitasa tu...
mzima lakini? lols..
Huyo si mwanaume ni mvulana to be precise
Mhh Leo baridiii njoo bas honey
hapa nilipo kaa nitaingiza laki moja mpaka jioni honey,... sasa nikija utanipa laki mbili?
hapa nilipo kaa nitaingiza laki moja mpaka jioni honey,... sasa nikija utanipa laki mbili?
Hata nne ukitaka my honey
under20 facebook slogans!
aya ngoja nije location ni pale pale au?
Gal: Hi sweet,,umeamka aje??
Boy: Aaaawwww,,am gyud
shwyiraeh,,WBU??
Gal: wbu ni nini??
Boy; Loool,,dunderhead,,smh,,t
'mins
'Wat Bout You ',,daah!!
Gal: oooh,,unajua vtu zingine
naoneaga kwa gazeti ama Tv!!
hehe
Boy: hehe,,anweh,,HhUB??
Gal: hio nayo ni nini??
Boy: OMG!! ho my sapozd to chat
if
u nah get naen? it mins How have
U
bin yawa!!
Gal: Boi,,kwani unaongeaga
kihibirania sku izi??nkt,,sawa,,So
leo ju unakam unataka npike USA
ama USBzM??
Boy: loool,,and wt r thoz nw??
Gal: ooh,,thot unaelewa
kihibirania yote?? inamin unataka npike Ugali
Sukuma na Avocado ama Ni Ugali
Samaki Na Bolingo za Mbuzi??
baff!!next tym uchat ka mtu ako na akili
unaskia?ulfkiria ww tu ndo
unajua kuongea in Tongues ?Funda!!
Boy: oke.
Huyo si mwanaume ni mvulana to be precise
Mayankee wa siku hizi lugha zao ngumu kweli. Mi ukintumia ms hivyo uisubiri ijijibu yenyewe maana sitosumbua akili kuielewa.
Na haka kamtindo ka kubadili maneno saivi 's' ni 'x' duh. Hata sielewagi wanafupisha nini