Huwanajiuliza sana kwa nini mwanamme akichapiwa mke/mpenzi wake huwa anaumia sana
tofauti na mwanaume akitembea na mwanaume mwingine mwanamke huwa anachukulia poa tu?
hapa inamaanisha mwanamke anathaminiwa sana na mwanaume tofauti na jinsi mwanamke anayomthamini mwanaume.,