kwa yeyote ajuaye tafadhali, wenye uzoefu wa kuchapisha vitabu china wakatumiwa hapa tz tushee uzoefu. rafiki yangu amenishauri nitumie makampuni ya China kuchapisha vitabu. ni kampuni gani nzuri ya uhakika unaweza kuitumia? thanks.