Habari wanajf
Naomba kujua kwa nini walimu na wananchi wanyonge wa tarime wanalazimishwa kuchangia mbio za MWENGE.
Agizo limetoka kwa mkuu wa wilaya tarime likiamrisha walimu wakuu wote na waratibu wachangie 5000•=
Walimu wa kawaida3000{=
Orodha ya waliiochangia eti ipelekwe ofisin kwa mkuu wa wilaya.
Je hapo kuna haki?