Kuchagua kazi

Kuchagua kazi

gfesto

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
653
Reaction score
146
Tofauti na kazi uliyonayo, ungependa kufanya kazi gani? Labda ulipokuwa mdogo ulikuwa unasema nikiwa mkubwa napenda kufanya kazi fulani na sasa siyo kazi uifanyayo.
 
Tuaze na wewe.

Ulitamani kufanya kazi gani tofauti na uliyonayo sasa...?
 
Me nilitamani kuwa mkulima mkubwa,ila ndoto hazijatimia.
 
Mimi nilitamani mno kuwa mwalimu,yaani nilikuwa natamani tu kuchapa watoto,yaani kuwa mwalimu mkali kuliko wote shuleni,utoto bhana,lakini wapi maisha haya yaTanzania hayana kanuni kabisaa,lakini sio mbaya nimekuwa mwalimu wa watoto wangu lakini mwalimu rafiki kwao.....
 
Mazingira yaliniathiri ndo maana ndoto hazikutimia
 
Back
Top Bottom