Kuchafuana Kwa Bosi

Mtu wa namna hiyo mboma nampenda....

Kitambo sana nilifanya kazi ofs moja kulikuwa na dada mpika majungu na boss mpenda majungu

Niliwafurahisha tu

Bi dada akija namdanganyaje...yaani namdanganyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Bosi (alikuwa hapendi kuona uko njema...ila ukiwa na tatizo furaha yake sio ya nchi hii ataisambaza hadi department nyingine ) huyu sasa kwa kuwa nilijua ukiwa na maisha mazuri anaumia nilikuwa naongelea maproject makubwa makubwa ya binafsi......(angejua kuwa ilikuwa fiksi angejiua walahi) yaani hata siulizwi mie naropoka tu miproject na mipango sio ya nchi hii

Zikija safari yaani najifanya sitaki kusafiri biashara zangu zitavurugika sasa ili anikomoe ananipanga safari (...kumbe ndio furaha yangu)

Ila walivyozidi niliwaita boss na chaumbea wake nikawachana vibaya mno na kuwaambia shule nilisoma nina vyeti halali


Ingawa kwa kero zao walinisaidia nikaachana na kujiriwa
 
Ni katika namna fulani ya kutafuta sifa na kujipendekeza kwa boss..na mara nyingi watu wa namna hii huchochea migongano kazini na hata kupelekea ufanisi wa kazi kushuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…