Bulichekah
Member
- Jan 12, 2014
- 68
- 186
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hakuna kazi ninayo ifurahia kama pale ninapo wabandika wamama/wadada kucha za miguuni, na wakati wamevaa vigauni ama sketi.....teh[emoji28]
Nami naomba ajira kwenye ofisi yako mkuu...hata mm naipenda hiyo kazi nitaifanya kwa kujitolea/bureHakuna kazi ninayo ifurahia kama pale ninapo wabandika wamama/wadada kucha za miguuni, na wakati wamevaa vigauni ama sketi.....teh[emoji28]
Sijui wanayapendea nini halafu huwa hayawapendezi. (Samahani huu ni mtazamo wangu)
Mbona hizi kucha hazina makali yoyote....hata kujikuna tu huwa Ni shida
Sema kuna unacho angalia si bureHakuna kazi ninayo ifurahia kama pale ninapo wabandika wamama/wadada kucha za miguuni, na wakati wamevaa vigauni ama sketi.....teh[emoji28]
.....[emoji28][emoji28][emoji28]Sema kuna unacho amgalia c bure
Sijui wanayapendea nini halafu huwa hayawapendezi. (Samahani huu ni mtazamo wangu)
Hata mie najua ni nene fulani hivi,huwa sio kali mara nyingi
Kucha natural huwa zinakwaruza zaidi ya hizi za kubandika
Ama stori ya kutungaNi muongo tu mtoa mada.
Hazijui hizi kucha.
Hazina nguvu yoyote....hata kukwangua vocha tu haziwezi iwe kumtoa mtu ngozi....atakuwa aliumizwa na kiatu
Wengine tunawekaga ili tuinekane tuna vidole mana kama mimi nina vidole vifupi na kucha ni ndogo sana unaweza dhani ni tangawizi miguuni😂😂 so ili kuepusha kukanyagwa inabidi tuzibandike tu😨😥Sijui wanayapendea nini halafu huwa hayawapendezi. (Samahani huu ni mtazamo wangu)
aisee, sio unakua kama shumileta
em zako nizioneHa ha ha
Wala hubandiki ndefu Kama jini..za kiasi tu