P paschal poj New Member Joined Aug 28, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Aug 28, 2011 #1 Jamani naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya ku connect kubuntu 10.10 na internet via airtel modem
Jamani naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya ku connect kubuntu 10.10 na internet via airtel modem
Jayfour_King JF-Expert Member Joined Nov 15, 2009 Posts 1,135 Reaction score 131 Aug 28, 2011 #2 Nadhani inategemea design, kwani zilizokuwa zinatolewa hapo nyuma nyingi haziko compatible na Linux OS. Kwa zilizo sokoni zinazofanya kazi na Ubuntu, Kubuntu, Xubuntu etc ni za Zantel na TTCL. Binafsi sijasikia kuhusu Airtel na Vodacom.
Nadhani inategemea design, kwani zilizokuwa zinatolewa hapo nyuma nyingi haziko compatible na Linux OS. Kwa zilizo sokoni zinazofanya kazi na Ubuntu, Kubuntu, Xubuntu etc ni za Zantel na TTCL. Binafsi sijasikia kuhusu Airtel na Vodacom.