Rasheed rashid
Member
- May 12, 2017
- 10
- 0
Ahsante nduguTafuta wireless router za 4G uwe unawasha wi-fi tu tena mtashea wewe na ndugu na jamaa zako.
Hiyo router inakubal 3g??Tafuta wireless router za 4G uwe unawasha wi-fi tu tena mtashea wewe na ndugu na jamaa zako.
Yaah. Pia kuna line special za 4G. Ila kwa rashid 3G kwake bado ni shida.Hiyo router inakubal 3g??
Niliwahi kwenda ktk ofisi moja ya mtandao wa simu kwa tatizo hilo la network nikitaka kulimaliza kwa kununua hiyo router wakaniambia sio suluhisho.Tafuta wireless router za 4G uwe unawasha wi-fi tu tena mtashea wewe na ndugu na jamaa zako.