MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kulingana na misimamo mikali ya huyu bwana na uwezo wake mkubwa katika masuala ya habari za kiuchunguzi kuna mtu amenidokeza kua kuna nafasi nzuri kubwa ndani ya Chama imeandaliwa kwa ajili yake.
Kama kuna ukweli juu ya hili basi Mwenyekiti Mbowe ni mjanja sana na hii inaweza kukisaidia chama zaidi maana huyu ni mtu asiyemwogopa mtu na ni jasiri aliyekwishajeruhiwa sana .
Kama kuna ukweli juu ya hili basi Mwenyekiti Mbowe ni mjanja sana na hii inaweza kukisaidia chama zaidi maana huyu ni mtu asiyemwogopa mtu na ni jasiri aliyekwishajeruhiwa sana .