Ameshinda kesi, halafu unamalizia hatua za awali, hatua za awali ni zipi??? huelewi unareport nini, content na heading haviendani, maana ushindi wa hatua za awali hauguarantee kushinda kesi ya msingi.
Hivi Ukiwa Ccm Lazima Ujivue Ufahamu?. Ukiwekewa Pingamizi La Awali Na Mwenzako Akakushinda, Shauri Asilimia Kubwa Nalo Hutupwa Na Hivyo Kesi Ya Msingi Haisikilizwi. Unakumbuka Kesi Ya Zitto Na Uanachama Wake? Si Shauri Lilitupwa Kwa Sababu Mlalamikaji Alikosea Namna Ya Kuliwasilisha! Vipi Lwakatare Na Ugaidi? Nalo Si Lilitupwa Ila Likabaki Kiaina Aina Bila Makali Ili Kuwazubaisha Magamba. Hongera Kubenea.

mbona ushabiki wa kitoto?
kashinda kesi siku ya kwanza
Mention ndi kashinda? au una Maana Masaburi kaandika barua ya kujuitoa?
muwe mnfafanua maana Makonda kawashika pabaya

Makonda hatamsahau huyu mtu , mkwara kidogo tu kapiga simu wizara ya mambo ya ndani ! hakika ushujaa wa kubenea umetukuka ! tindikali imeshindwa itakuwa ngwala ?
Hivi Ukiwa Ccm Lazima Ujivue Ufahamu?. Ukiwekewa Pingamizi La Awali Na Mwenzako Akakushinda, Shauri Asilimia Kubwa Nalo Hutupwa Na Hivyo Kesi Ya Msingi Haisikilizwi. Unakumbuka Kesi Ya Zitto Na Uanachama Wake? Si Shauri Lilitupwa Kwa Sababu Mlalamikaji Alikosea Namna Ya Kuliwasilisha! Vipi Lwakatare Na Ugaidi? Nalo Si Lilitupwa Ila Likabaki Kiaina Aina Bila Makali Ili Kuwazubaisha Magamba. Hongera Kubenea.
Inategemea hilo pingamizi la awali lilikua linahusiana na nini na kama lilikua na uwezo wa kumaliza shauri ama la, si kila pingamizi la awali linapelekea kumaliza shauri,