Kubenea ashinda kesi dhidi ya Masaburi

Kubenea ashinda kesi dhidi ya Masaburi

Bukanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
2,857
Reaction score
1,937
Ni kesi ya uchaguzi jimbo la Ubungo...

Amemgalagaza kwenye hatua ya awali...

On the next one....
 
Makonda atakuwa anajutia sana maamuzi yake..Kubenea sio mtu wa kuchezea kirahisi hivo..
 
Nadhani makonda hafikirii kuja kupata positio kubwa huku mbele ndo maana anayafanya haya hajali kabisa duh kuna watu wanaroho za aina tofauti sana
 
Nadhani makonda hafikirii kuja kupata positio kubwa huku mbele ndo maana anayafanya haya hajali kabisa duh kuna watu wanaroho za aina tofauti sana

kesi inahusu kupinga matokeo ya ubunge wa jimbo la ubungo, iliyofunguliwa na Didas Masaburi dhidi ya Said Kubenea (mb).
 
Nimecheka sana hii tittle kwani nimejiuliza hivi Kubenea anajua
maana ya hicho alichoshinda ...maana masaburi yana maana yake.
humu Jukwaani JF.
[h=2]Kubenea Ashinda kesi dhidi ya Masaburi...[/h]
 
Last edited by a moderator:
huyu kubenea tulimuweka ubungo makusudi mazima ya kukomesha ccm na makandokando yake kama huyu masaburi , na bado kuna mwingine atahamishiwa mpwampwa hivi karibuni , hatutaki mchezo kabisaaa !!!
 
Nimecheka sana hii tittle kwani nimejiuliza hivi Kubenea anajua
maana ya hicho alichoshinda ...maana masaburi yana maana yake.
humu Jukwaani JF.
[h=2]Kubenea Ashinda kesi dhidi ya Masaburi...[/h]
eee bhana mjomba , maana gani tena aisee ! hili si ni jina la mtu jamani ?
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana hii tittle kwani nimejiuliza hivi Kubenea anajua
maana ya hicho alichoshinda ...maana masaburi yana maana yake.
humu Jukwaani JF.
[h=2]Kubenea Ashinda kesi dhidi ya Masaburi...[/h]

Teh kuna kipindi hilo jina ulikuwa ukiliandika humu jf halitokei.
 
Last edited by a moderator:
Ameshinda kesi, halafu unamalizia hatua za awali, hatua za awali ni zipi??? huelewi unareport nini, content na heading haviendani, maana ushindi wa hatua za awali hauguarantee kushinda kesi ya msingi.
 
Nimecheka sana hii tittle kwani nimejiuliza hivi Kubenea anajua
maana ya hicho alichoshinda ...maana masaburi yana maana yake.
humu Jukwaani JF.
[h=2]Kubenea Ashinda kesi dhidi ya Masaburi...[/h]

Jamaa amaanishi masabuli hayo unayosema 😀😀😀😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom