2020 kulikuwa na uvumi kuwa jiwe atawapa majimbo ACT ili kiwe chama kikuu cha upinzani halafu chadema itakufa. Hapo ndipo chadema-maslahi wengi wakakimbilia ACT, akiwemo Kubenea, 30, n.k
Waliingia makubaliano ya kuacha kuripoti Habari za Chadema ili aipaishe ACT, sasa kwa bahati mbaya Chadema Haijawahi kuhujumiwa na wafanya hujuma wakabaki salama
Kapewa ubunge wa ubungo kaenda kuongelea shanga za Wana wake. Stupid kabisa. Apotee kabisa asionekane Tena kwenye Siasa. Alituangusha Sana Wana Ubungo.