Nina samsung galaxy s3 mini......ninataka kubadilishana na mtu mwenye Tecno Phantom A (F7) au htc yoyote nzuri. #simu nimeitumia ina mda wa siku 4....badoo Mpyaa.......!!!! *kama unapenda tufanye hvyo ni PM
ungekuwa mtoto wangu
ningekutoa sadaka.....
yaan we we simu ununue mwenyewe thn utafute wj kubadilishana nae kweli??
una akili kwenye tumbo lako we we??????