Hakuna muda muafaka.
Kinachotakiwa ni kuwasilisha cheti chao kwa muajiri, na pia uombe kwa kuandika barua ya kuomba kubadilirishiwa kada/ nafasi kulingana na mahitaji.
sio lazima mtu kubadilishwa kisa umesa, kinachotakiwa ni kupewa kipaumbele kama nafasi itatikeA