Makadirio YA kodi TRA huwa ni ten percent YA pesa uliyonunulia. Lakini pia waweza kuwasomesha jamaa TRA wakakukadiria na kodi ikashuka ingawa kitu kidogo kinaweza kuhusika. Anyway Mara nyingi huwa wanakadiria kulingana na evaluation inayokua imefanywa na watu wa Land na pia mkataba wa manunuzi.
Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app