kama biashara ni hiyo hiyo inabidi aandike barua apeleke TRA aliposajili mwanzo na awaambie anaenda sehemu gani iwe rahisi kumpa barua apeleke atakapoenda kuhamia,
pia unapohamia lazima ufate taratibu zile za mwanzo wakati wa usajili kama ulivyoanza huko arusha....local government to TRA.