kwanza ufahamu unapobadili dini hubadili kwa intreset ya kumfuata mwanamke tu au mwanamke kumfuata mwanamme.
unapobadili dini mara zote badili kutokana na Imani yako toka moyoni kwamba dini hii niliyo saivi siyo sahihi na dini sahihi ni hii nitakayokwenda. kwamfano umegundua madhaifu kwenye ukiristo sasa unaenda kwenye dini ya kiislamu kwa sababu Imani yako imeamini kwamba uislamu ndio dini sahihi.
Lakini unapobadili dini kwa kumfuata mwanamke au mwanamke kumfuata mwanamme maana yake ni kwamba siku imetokea mumegombana naye mukaachana unaweza ukarudi kwenye dini yako ya zamani sasa hii boss wangu haina mantiki yeyote katika masala ya kiimani (dini) na kubadili dini kwako. utakuwa umnnafiki tu.
Munatakiwa nyote 2 kwanza muangalie muko dini gani na inawezekana nyote mumepotea kwenye dini ambayo sizo. Sasa tafakari umjuwe vizuri mola wako aliyekuumba then nyote 2 fanyeni maamuzi sahihi ili mukiingia kwenye ndoa iwe muko kwenye ibada na iwe ni sababu kuingizwa peponi siku malipo.