Kuanzisha na kusajili chuo (college/institution)

tumain ernest

Member
Feb 24, 2011
26
8
Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujenga na kusajiri chuo vigezo vinavyohitajika na Mamlaka zinazohusika kusajiri
 
Mkuu ujasema chuo cha nini mana vigezo vinatofautiana sana kwa Vyuo vya Afya na vyuo vya kada nyingine
 
Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujenga na kusajiri chuo vigezo vinavyohitajika na Mamlaka zinazohusika kusajiri

Kwanza angalia chuo unachotaka kujenga kina angukia wapi VETA, NACTE au TCU, halafu nenda huko ukaongee nao wakuelezee na wakupe miongozo yao. Kwa njia hii utakuwa na uhakika na kile unafanya. Nikutakie heri katika hilo.
 
Back
Top Bottom