Cable Tv zinalipa sana Watanzania tumeshasoma sana haina haja ya kutumia Supper Sport unaweza kutumia King'amuzi kingine na ukapiga hela. watanzania wengi wanapenda mpira wa miguu so ukiwa na nyumba 400 umeziunganisha kwa bei ya Tshs. 10000 kwa mwezi unaweza kupata 4,000,000 kwa mwezi hapo ukijitanua utapata hadi 20,000,000.