Z zuch13 Member Joined Dec 7, 2016 Posts 16 Reaction score 5 Dec 29, 2016 #1 Salaam wakuu. Nimepitia pitia website ya BOT sijaona wameliweka hili jambo wazi. -Mtaji unaotakiwa kuanzisha bank na deposit % ngapi inakaa reserve bot. -Mimi ni mfanyabiashara na ninapenda kujua na kufahamu mambo mapya kila sekunde. Salaam..
Salaam wakuu. Nimepitia pitia website ya BOT sijaona wameliweka hili jambo wazi. -Mtaji unaotakiwa kuanzisha bank na deposit % ngapi inakaa reserve bot. -Mimi ni mfanyabiashara na ninapenda kujua na kufahamu mambo mapya kila sekunde. Salaam..