Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,620
[emoji3][emoji3]Chaka unatembea nayo Moja tu jmn [emoji16][emoji16][emoji16]Itakuwa afadhali maana Kama una vifaa 3 vya kuchaji unalazimika kutembea na chaja 3
Piniwaliyohamua hitumike ni hile ambayo wanatumia sana washikaji zetu wa Tecno, Infinix, Xiaomi nchini Africa
Umejitahidi kutoa elimu, ila hongera..maana mtu akidharau chargee zingne namuona hana akili.Hahah unachekesha mzee....
Katika model za tecno 93 zilizopo GSM arena, ni tecno 16 tu ndio ndio zina USB type C.
Katika model za infinix 86 zilizopo GSM arena, ni model 26 tu ndio zina USB type C.
Katika model 265 za Xiaomi zilizopo GSM arena, Ni model 187 ndio zina USB type C. Do you see the difference?
Next time usiiweke Xiaomi na hizo taka zingine kundi moja.
Tecno na infinix wameanza kutumia USB type C juzi.
Mpaka tunaingia mwaka 2020 ni matoleo manne tu ya tecno ndio yalikuwa na USB type C.
Me nmetumia Sony Xperia X back then ilikuwa ni simu ya 2016 lakini ilikuwa na USB Type C.
Sijapenda kuona umeziweka Infinix na TECNO kundi moja na XiaomiHatimaye Umoja wa nchi za ulaya (EU) umeafikiana makubaliano ya kutumia Usb chaji aina moja kupitia simu zote zitakazotengenezwa mwaka 2024. Mpango huu unahusu vifaa vyote vya kieletroniki kuanzia simu , kamera , laptop,console za game pad , electronic - readers, earbuds , headphones pamoja na headsets nk.
Japo mwanzoni ilikua hinaonekana kama rungu kwa kampuni ya apple kutokana na kuwa na mifumo tofauti na wengine kuanzia kwenye chaji za simu , laptop na vifaa vyake vingine.
Lakini tarehe 08/06/2022 bunge la umoja wa ulaya walikubaliana wote kutumia USB type C kwa watumiaji wa simu zote. Jambo hili limetumia miaka kumi 10 kubishana mpaka kukubaliana.
" Bidhaa katika categories zilizotajwa zote zitalazimika kuwa na mlango wa Usb Aina Moja bila kujali mtengenezaji wao ni nani !!" Bunge la Umoja wa Ulaya lilisema katika tangazo lao jana.
Sera Yao pia itahimarisha mifumo ya fast charging kwenye speed hivyo tutarajie kuona vifaa vyote kutumia speed Moja kwa vifaa vyote wakati unachaji.
Pini [emoji6] waliyohamua hitumike ni hile ambayo wanatumia sana washikaji zetu wa Tecno, Infinix, Xiaomi nchini Africa [emoji288]
Je tunakoelekea soko la simu litaendelea kuwa la ushindani kweli au lah tuachie maoni yako?
View attachment 2254185
Ameidhalilisha sana xiaomiHahah unachekesha mzee....
Katika model za tecno 93 zilizopo GSM arena, ni tecno 16 tu ndio ndio zina USB type C.
Katika model za infinix 86 zilizopo GSM arena, ni model 26 tu ndio zina USB type C.
Katika model 265 za Xiaomi zilizopo GSM arena, Ni model 187 ndio zina USB type C. Do you see the difference?
Next time usiiweke Xiaomi na hizo taka zingine kundi moja.
Tecno na infinix wameanza kutumia USB type C juzi.
Mpaka tunaingia mwaka 2020 ni matoleo manne tu ya tecno ndio yalikuwa na USB type C.
Me nmetumia Sony Xperia X back then ilikuwa ni simu ya 2016 lakini ilikuwa na USB Type C.
Kweli kabisa aomba msamaha hapaAmeidhalilisha sana xiaomi
Nachukia sana mnapokuwa mnaongelea simu mtu anataja infinixHahah unachekesha mzee....
Katika model za tecno 93 zilizopo GSM arena, ni tecno 16 tu ndio ndio zina USB type C.
Katika model za infinix 86 zilizopo GSM arena, ni model 26 tu ndio zina USB type C.
Katika model 265 za Xiaomi zilizopo GSM arena, Ni model 187 ndio zina USB type C. Do you see the difference?
Next time usiiweke Xiaomi na hizo taka zingine kundi moja.
Tecno na infinix wameanza kutumia USB type C juzi.
Mpaka tunaingia mwaka 2020 ni matoleo manne tu ya tecno ndio yalikuwa na USB type C.
Me nmetumia Sony Xperia X back then ilikuwa ni simu ya 2016 lakini ilikuwa na USB Type C.
Type C ni muonekano tu haina utofauti wowote na usb nyengine, walichoafikiana ni muonekano uwe mmoja.
Ila kwa Version za Usb bado sana, kwa Sasa maybe Samsung, Oppo na BBK wengine, na Sony ndio wanatumia usb za kisasa 3.1 na kuendelea.
Ila wengi waliobakia Apple, Xiaomi, Tecno na wengineo mpaka simu zao za maelfu ya dollar wanatumia usb 2.0 ya mwaka 2000.
Ipo. Kama ya kawaida, kimuonekano haina tofauti ila functionalities zinabadilika.Usb type 3.1 ipoje tusaidie kuijua kwa picha na maelezo kidogo
Ipo. Kama ya kawaida, kimuonekano haina tofauti ila functionalities zinabadilika.
Ukiwa na usb 3.1 usb port yako inakuwa na bandwidth ya 10gbps kila sekunde unaweza toa zaidi ya 1GB, hii inasaidia ku connect simu na TV ama monitor, kutumia simu kama desktop, kuconecct accessories mbalimbali na docks etc.
All in one connector, ni nzuri zaidi. Tena dunia ya micro-devices kwa USB type C safi sana.Hatimaye Umoja wa nchi za ulaya (EU) umeafikiana makubaliano ya kutumia Usb chaji aina moja kupitia simu zote zitakazotengenezwa mwaka 2024. Mpango huu unahusu vifaa vyote vya kieletroniki kuanzia simu , kamera , laptop,console za game pad , electronic - readers, earbuds , headphones pamoja na headsets nk.
Japo mwanzoni ilikua hinaonekana kama rungu kwa kampuni ya apple kutokana na kuwa na mifumo tofauti na wengine kuanzia kwenye chaji za simu , laptop na vifaa vyake vingine.
Lakini tarehe 08/06/2022 bunge la umoja wa ulaya walikubaliana wote kutumia USB type C kwa watumiaji wa simu zote. Jambo hili limetumia miaka kumi 10 kubishana mpaka kukubaliana.
" Bidhaa katika categories zilizotajwa zote zitalazimika kuwa na mlango wa Usb Aina Moja bila kujali mtengenezaji wao ni nani !!" Bunge la Umoja wa Ulaya lilisema katika tangazo lao jana.
Sera Yao pia itahimarisha mifumo ya fast charging kwenye speed hivyo tutarajie kuona vifaa vyote kutumia speed Moja kwa vifaa vyote wakati unachaji.
Pini [emoji6] waliyohamua hitumike ni hile ambayo wanatumia sana washikaji zetu wa Tecno, Infinix, Xiaomi nchini Africa [emoji288]
Je tunakoelekea soko la simu litaendelea kuwa la ushindani kweli au lah tuachie maoni yako?
View attachment 2254185
Itakuwa poa sanaHatimaye Umoja wa nchi za ulaya (EU) umeafikiana makubaliano ya kutumia Usb chaji aina moja kupitia simu zote zitakazotengenezwa mwaka 2024. Mpango huu unahusu vifaa vyote vya kieletroniki kuanzia simu , kamera , laptop,console za game pad , electronic - readers, earbuds , headphones pamoja na headsets nk.
Japo mwanzoni ilikua hinaonekana kama rungu kwa kampuni ya apple kutokana na kuwa na mifumo tofauti na wengine kuanzia kwenye chaji za simu , laptop na vifaa vyake vingine.
Lakini tarehe 08/06/2022 bunge la umoja wa ulaya walikubaliana wote kutumia USB type C kwa watumiaji wa simu zote. Jambo hili limetumia miaka kumi 10 kubishana mpaka kukubaliana.
" Bidhaa katika categories zilizotajwa zote zitalazimika kuwa na mlango wa Usb Aina Moja bila kujali mtengenezaji wao ni nani !!" Bunge la Umoja wa Ulaya lilisema katika tangazo lao jana.
Sera Yao pia itahimarisha mifumo ya fast charging kwenye speed hivyo tutarajie kuona vifaa vyote kutumia speed Moja kwa vifaa vyote wakati unachaji.
Pini [emoji6] waliyohamua hitumike ni hile ambayo wanatumia sana washikaji zetu wa Tecno, Infinix, Xiaomi nchini Africa [emoji288]
Je tunakoelekea soko la simu litaendelea kuwa la ushindani kweli au lah tuachie maoni yako?
View attachment 2254185
Type C ni muonekano tu haina utofauti wowote na usb nyengine, walichoafikiana ni muonekano uwe mmoja.
Ila kwa Version za Usb bado sana, kwa Sasa maybe Samsung, Oppo na BBK wengine, na Sony ndio wanatumia usb za kisasa 3.1 na kuendelea.
Ila wengi waliobakia Apple, Xiaomi, Tecno na wengineo mpaka simu zao za maelfu ya dollar wanatumia usb 2.0 ya mwaka 2000.
Thunderbolt ni yenyewe mkuu, hio most of time ni usb 4 na inapeleka 80gbps kama kumbukumbu zipo sahihi.kwahiyo kelele za thunderbolt USC ni siasa tu kitoka apple??